Shirika la habari la AhlulBayt(a.s)-ABNA: Ahmad Makiy mwanasheria mkuu mchini Misr, ametangaza kuwa: Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak ataachiwa huru kotoka Jela tarehe 14 mwezi wa nne.Katika mazungumzo yake na Televishen ya Almihwar alisema: kuachwa huru kumetokea baada ya tuhuma walizo mtuhumu kuto thibiti mahakamani.Naye aliongeza kusema kanuni ya kuhukumiwa Rais wa Jamhuri ni moja ya masuala muhimu yanayo hitajika kuweko katika katiba mpya ya nchi hiyo, na niwazi kuwa Hosni Mubarak baada ya kukamatwa na kufungwa kwa muda mfupi tarehe14 mwezi wa nne ataachwa huru kwasababu kuwa kutokana na maelezo yalioyolewa yeye si mtuhumiwa tena.
25 Machi 2013 - 19:30
Msimbo wa Habari: 403242
Mwanasheria mkuu nchini Misri atangaza kuachwa huru Husni Mubarak 14 mwezi wa nne